Tuesday, 23 September 2014

PIRES APATA MAPOKEZI YA KIFALME FC GOA...LIGI KUU YA INDIA SASA NI YA MASTAA WA ULAYA

NYOTA wa zamani wa Asrenal, Mfaransa Robert Pires amepata mapokezi makubwa wakati anawasili kwa ajili ya kusiani FC Goa ya India.  
Pires alilazimika kusimama na kupiga picha na mashabiki na kuwasainia autographs wakati anawasili India na kisha akatweet: "Sikujua kama nina mashabiki wengi namna hii India!'  
Robert Pires alipokewa namna hii wakati anatua kujiunga na timu ya Ligi Kuu ya India, FC Goa

No comments:

Post a Comment